Ifahamu shule yetu



KARIBU Bridge Preschool


  • Bridge Preschool ni shule ya awali ya English medium. Shule hii ipo kijiji cha Lugalo, mkoa wa Iringa (Tanzania)
  • Shule ni ya awali kwa watoto kuanzia umri wa miaka 3 hadi 6, bila kujali dini au itikadi.
  • Shule imefunguliwa tarehe 14/7/2014
  • Muda wa kuingia darasani ni saa mbili asubuhi, mpaka saa sita na nusu. Watoto wanapata kifungua kinjwa kila siku. Watoto wanasoma masomo ya lugha, sayansi, hisabati, na masomo ya sanaa na mambo mbali mbali yanayojesha akili na vipaji vya watoto
  • Mzazi/mlezi atapaswa kuchangia ada ya shilingi 180,000/= kwa mwaka. Mzazi/mlezi anaweza kuchangia ada mara nne kwa mwaka.
  • Fomu za usajiri zinapatikana ofisi za Bridge Preschool kwa shilingi 5000/= tu.

MOTTO: BRIDGE TUNAJENGA ANGA JIPYA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni